Fahari la Ziwa Victoria

Nunua Tiketi Mtandaoni

Je, unahitaji kupanga safari yako na kununua Tiketi? Ukiwa na programu yetu, unaweza kununua Tiketi za Kamanga Ferry kiganjani mwako
App StoreGoogle Play

#KataTiketiKidijitali

Bei Bora za Tiketi

Ofa iliyochaguliwa kwa bei nzuri zaidi ya safari.

Gallery

Tiketi za Feri kwa Usafirishaji wa Mifugo
Tunatoa Tiketi za feri zinazofaa kwa usafirishaji wa mifugo bila usumbufu. Iwe unahamisha ng'ombe, mbuzi, au wanyama wengine, tumeshughulikia safari yako.

Tunatoa Tiketi za feri zinazofaa kwa usafirishaji wa mifugo bila usumbufu. Iwe unahamisha ng'ombe, mbuzi, au wanyama wengine, tumeshughulikia safari yako.

1 / 3

Punguzo la Wanafunzi

Kata tiketi zaKamanga Ferry kwa mwanafunzi kwa bei ya chini kama 300 TZS